Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mabinti wengine wazuri poti we acha tu. Imagine kama li Sanchi ndo unapewa fo wani naiti. Du whoteva yu wanti...Weweeee...Front page kwa Shigongo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 821591

Acha tuimbe tu wimbo wa UGUMU lakini deep down, uanaume unakuwa unakusuta! [emoji23][emoji23]
 
U-DC sasa ni kama vyeo vya wanachama wanaosubiriwa toka upinzani. Naamini kuna wengi wengine wataondoka upinzani kufuata U-DC. Siasa zimebadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…