Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532765109762.jpg
 
Awamu ya 5 imeweza kuzishushia hadhi sana nafasi za Ma-RC&Ma-DC Any way sawa kwa sababu sifa za kuteuliwa ni ikimpendeza Mtukufu Serikali ya awamu ya 5, nadhubutu kusema ni Serikali Mseto maana CCM haina tena human resources zaidi ya kutegemea kuwanunua wapinzani kuunda Gov't.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Siasa bana !!!
 
Majamaa yaliyosoma Sayansi yalikua hayana habari na mademu enzi za shule. Yenyewe na vitabu tuu. Matokeo yake yanakuja kupagawa na mifereji maringo tayari yana madaraka na pesa. Inakua Chaos sasa.
Mkuu punguza, najua leo umehamaki ila hatuna namna[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndiyo hivyo, hata jamvi linakubaliaka mahali pa shughuri ingawa nyumbani una zuria zuri[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom