Kukomaa-komaaa na vimario ndiyo matumizi mabaya ya talanta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], matumizi mabaya ya talanta sio.
Kwenye pipii je...anapenda ?Pyaar nakuvulia kofia, kwenye kugonga likes una mapafu ya mbwa[emoji3] [emoji3] khaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Omba rukhsa ufunguliwe milango, hakuna lisilowezekana chini ya jua,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila utakachokutana nacho huko iwe siri yako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Try her
Hata kwenye baridi kali hili dada wetu unathubutu kutoa kauli kama hiyo?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wuu wuu kwa sauti ya hood wa kangi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manaume mambwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]