Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inabidi siku tulihamishie Daslamu kabisa liwanyooshe wadada wa bongo kwanza ndiyo akili itawaingia.
Mnavyoambiwa mmezaliwa na mitaji huwa hamwelewagi kabisa nyie, mnakazana kuwekeza kwa vikina mario.
Hivi kweli mtawalaumu wakina Zarina wakija kuchuka furasa zenu hapa bongo ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama nawaona kina mario wakimmind Malcom Lumumba [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23]punguza hasira buda,nini mbaya?

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ange mfurahisha angepewa hata Ilala. inaonekana mzee bado ana mchallenge aongeze bidii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama nawaona kina mario wakimmind Malcom Lumumba [emoji23][emoji23]
Hebu viende zao huko maana havina maana kabisa.
Sasa unakuta kibinti kimekazana sana na vimario vinapelekana huko la Chalz mara Samaki.
Wakati mimi kuna Mavampire huwa nayaonaga kona zao ni George and Dragon, Hyatt, yaani hayachezi mbali na fursa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], matumizi mabaya ya talanta sio.
 
Back
Top Bottom