Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A86F3116-2A41-4979-A070-CB1E84799F6B.jpeg
 
Mungu awape kila hitaji la mioyo yenu.
Apate kuwapa faraja kwa wale wanaojiona wapekwe na wametengwa.
Awafanyie wepesi wote wanao/mnao pitia magumu
Awape afya njema wagonjwa wote.
Mungu awabariki[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji124][emoji124][emoji124]
Hivi hapa ulikuwa unazungumzia upweke gani
 
Back
Top Bottom