Hivi hapa ulikuwa unazungumzia upweke ganiMungu awape kila hitaji la mioyo yenu.
Apate kuwapa faraja kwa wale wanaojiona wapekwe na wametengwa.
Awafanyie wepesi wote wanao/mnao pitia magumu
Awape afya njema wagonjwa wote.
Mungu awabariki[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji124][emoji124][emoji124]
Muonee huruma Mtoto wa mwanamke mwenzioG morning
Mhe endeleeni kukita kambi hasa hicho kiti cha spika.Mh. mbunge wa Kiembesamaki. Siku hizi huku umetutupa. Huwa nakuonaga huko kwenye mapovu siasani. Uwe unapita pita ba huku kutusabahi wapiga kura wako.