Arsenal inamlenga Steven Nzonzi, 29, kiungo wa kati wa zamani wa Blackburn na Stoke ambaye sasa anakipiga Sevilla, yu mbioni kujiunga na Roma kwa kitita cha zaidi ya pauni milioni 29
Mshambualiaji wa NewCastle Aleksandar Mitrovic anajiandaa kuhamia Fulham kwa mkataba wa kudumu, ambapo alitumikia sehemu ya msimu uliopita kwa mkopo. (Sky Sports)
Mshambualiaji wa NewCastle Aleksandar Mitrovic anajiandaa kuhamia Fulham kwa mkataba wa kudumu, ambapo alitumikia sehemu ya msimu uliopita kwa mkopo. (Sky Sports)
Newcastle wamesema skipper Jamaal Lascelles hatauzwa hata kama Leicester itafika dau la pauni milioni 35 kumnyakua mchezaji huyo mwenye miaka 24.(Newcastle Chronicle)

Claude Puel anaamini kuwa Leicester itaendelea kuwa itaendelea kumshikilia mlinzi Harry Maguire, 25, na mlinda mlango Kasper Schmeichel, 31. (Leicester Mercury)
Unai Emery anajiandaaa kumpa ukapteni Mesut Ozil hii ikiwa ni Kwa mara nyingine tena baada ya Mshambuliaji huyo Raia wa ujerumani kukiongoza kikosi hicho kupata ushindi katika mechi ya kirafiki dhidi ya Paris St Germain .(London Evening Standard)
Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino amesema kufungwa mapema kwa dirisha la usajili Englad hautasaidia klabu, lakini hiyo isiwe sababu ya kuchanganyikiwa kwa kukosekana kwa wachezaji wapya waliosajiliwa. (London Evening Standard)