Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Angalia hapa unachotakiwa kufanya sasa.

1.Badala ya kuongea kuhusu matukio mabaya na kutokubadilika, ongea kuhusu mambo ya kufurahisha na matukio yalio mazuri. Uwe makini usiruhusu mawazo mabaya yakutawale tena.

Hata kama hakuna mtu anayekusikiliza , ongea mwenyewe.Hakuna tatizo katika hilo. Nimekuwa nikijitania mwenyewe na kucheka ninapokuwa mwenyewe. Wakati ninapokumbuka utani wowote naongea.

Hata unapokuwa unaumwa na unasikia maumivu, fanya utani na kucheka. Uwe unafahamu kuwa unaposikiliza matatizo na maumivu unayafanya yapate nguvu, na kuyafanya yakutawale wewe na maisha yako. Badale yake uwe na usikivu katika mawazo mazuri ya kufurahisha.
 
Usiongee kuhusu maumivu ulionayo. Usiseme hujisikii vizuri. Kila wakati sema unajisikia vizuri na utaendelea kupata nafuu na kuendelea kupona kila sekunde. Amini hiki, kama utafanya utaondokana hata na magonjwa makubwa na matatizo yalio makubwa. Kwa hio badilisha mabaya kwa mazuri.
 
2.Tengeneza nyakati nzuri za kufurahia katika maisha yako

Kama utafanya hivyo utaona jinsi maisha yako yanavyojawa na furaha kama vile unaishi peponi.

Pepo unaitengeneza wewe mwenyewe. Kujisikia vizuri ni kutokana na ulichonacho kwenye akili yako. Achia mawazo mazuri yakuzunguke. Furahia kila wakati na kuwa na amani.
 
3.Give positive energy to others.

Kufanya hivyo hutapoteza bali utaongeza. Utajisikia vizuri zaidi na mwenye maneno yenye nguvu kwa wengine. Wasaidie watu wawe na furaha na wajisikie vizuri.

Furahia unapoona watu wamefanikiwa na kuwa na furaha.kama ndio hivyo vutia kwako furaha na mafanikio yao yawe kwako pia.
 
WAKUU UTAMU NI NINI? ??
[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
20180529_195531.jpg
 
5.Pata kitu kizuri kwa kila unachokisema.

Kama unataka kuomba kitu sema Tafadhali nipatie kikombe cha chai rafiki yangu mpenzi.

Usiseme huwezi , kwa sababu kama utasema hivyo hutaweza hata baadae. Kitu unachokisema kinakuwa kweli.Kwa sababu akili yako kwenye fikra hio kuwa ni kanuni inayotakiwa kukubalika katika maisha. Ufahamu wako unaamini kila unachokisema na kufikiri.
 
Kama mie aiseeee sipend utamu
Utamu upi ambao hupendi?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kuna utamu wa aina nyingi

Utamu wa fenesi

Utamu wa uji

Utamu wa konokono

Utamu wa vitumbua vineneeeee vimejaziaaa

Utamu wa kupewa ban

Utamu wa kufika kibo na mawenzi

Utamu wa kuita maji mmmaaaaaa

WEWE WAULIZIA UTAMU UPI?
 
Back
Top Bottom