Hahhaha nasikia wale wadada wa pale Magogoni yaan pale Akiba walipiga sana hela za wadau ikifika kipindi cha IPT,,Industrial Practical Training (IPT)
Hahhaha kwa hlo hata sishangaa kabsa jamaa anakili nyingi sana,,Siku hizi amegundua kamchezo ka kuuza Curriculum kwa vyuo vichanga, na anavipiga pesa kweli.
Teh teh teh teh teh, Kondoro bwana
Aisee!!
Nahitaji msaada kdogo juu ya hili.
Kuna Jamaa angu wiki iliyopita alikuwa mayai,aliyakaanga fresh tu,,baada ya siku tatu,,akavimba kende tena moja(p*mbu),,uvimbe mkubwa tu,,kaenda hospital wamewambia afanyiwe operation kuna maji yamejaa!!
Jamaa ikabd amtaarifu mshua wake ,,mshua wake akamwambia ulikula mboga ya mayai?jamaa akajbu ndio,,mshua akamwambia hlo ndio tatzo kwan hata mm huwa situmii mayai ,,,
Sasa najiuliza Kuvimba P*mbu kende moja baada ya kula mayai,,kuna Uhusiano gani?
Cc:Shimba Ya Buyenze,Pyaar,Numbisa
Hujawahi sikia lolote juu ya hii ishuJibu analo mshua. Hakuna hata haja ya kuumiza akili. Akimuuliza mshua atamwambia.
Kwema kabsa,,karbu kwenye Uzi wetu pendwaSwalama habari ya uzima?
Hahahahahaha,Hahhaha nasikia wale wadada wa pale Magogoni yaan pale Akiba walipiga sana hela za wadau ikifika kipindi cha IPT,,
Hope umenielewa mkuu hahaha
Shukran, bila shaka ndio tunaendelea.Kwema kabsa,,karbu kwenye Uzi wetu pendwa
Sijasikia aisee na ninakula mayai almost twice/weekHujawahi sikia lolote juu ya hii ishu
Kuna kachuo juzi kameuziwa Curriculum kama Tsh 5M hivi, hebu jiulize hapo.Hahhaha kwa hlo hata sishangaa kabsa jamaa anakili nyingi sana,,
Kila la kheri kwa hicho anachokifanya
Woyooooooo bro ni motoooMpaka nilie ni lazima uwe utamu kweli na si lelemama...mnato mnato bandika bandua feni slooo mo mkito mkito...Ooooooh [emoji7][emoji7][emoji7]
Hahahhahaha aisee!!Hahahahahaha,
Aaaah unadhani ni wale tu mazee, kuna kule migodini walipiga sana pesa.
Hadi sasa kuna mpango wizarani wa kubadilisha jinsi hizi mambo zinasimamiwa.
Maaana kuna ishu moja ilitokea juzi hapa hadi inatia aibu, vitoto vinafaulu kweli hata ripoti havijui kuandika
Ok poa broSijasikia aisee na ninakula mayai almost twice/week
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fyoko fyoko[emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] injini ng'wàaaauuu[emoji443] [emoji445] [emoji444]
Kuna ujinga mwingi sana mkuu siku hizi,Hahahhahaha aisee!!
Wale jamaa wa kule mgodini huwa wanamsemo wao mmoja hv wanasema mining means money,,
Basi hyo ishu itakuwa kubwa sana kama hadi wizara inaingilia