MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
waache wazee wa magogoni waendelee tu kupiga pesaaAisee,,usimamiaji na utekelezaji haufuati kama inavyotakiwa ,,IPT ambazo wanalipwa hapa bongo ni zile za kwenye Mining tu,,zingine hz sizani kama wanalipwa wakati wa IPT
Na ndio maana hata mtu wakati wa IPT anakuwa hachukulii criaz kivile anaweza akaenda na asimalize siku au akachelewa kuanza na bado hata wale wasimamizi wanaitoka vyuoni bado pia hawatilii mkazo brah brah anasaini anakula kona