Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hahhaha
Umemtaja Pro Kondoro,,hapa kama namuona pale DH hahhaha,,,akili nyingi sana yule mzee!!
Hivi bado yupo pale huyo Mzee?
Hahhaha
Umemtaja Pro Kondoro,,hapa kama namuona pale DH hahhaha,,,akili nyingi sana yule mzee!!
Fanyia utafiti mkuuMmmmmmhhh! Hii mpya.
Itakuwa ni ishu za kifamilia sasa...shukraniMayai ya kizungu yana madhara mengi hasa kama ufugaji utakua rafu dawa kupitiliza, pia jamaa ana jibu tayari angemuuliza baba yake anamaanisha nini kusema huwa hali mayai inaweza kuwa ni tatizo la kifamilia zaid
Kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3]HATUPOI
Hapana,,alishatoka ana muda mrefu sasa,,kama 5yrs japo sina uhakika sanaHivi bado yupo pale huyo Mzee?
Hapana,,alishatoka ana muda mrefu sasa,,kama 5yrs japo sina uhakika sana
Unampata fresh yule Mzee?
[emoji23] [emoji23]Namfahamu! [emoji1]
Hahahahaha! Huyo rafiki yako kabila gani?Fanyia utafiti mkuuItakuwa ni ishu za kifamilia sasa...shukrani
Mnyaturu,,wa singidaHahahahaha! Huyo rafiki yako kabila gani?
[emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu,,Yule mzee baada ya kutoka pale akastafu kabsa