Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

j-cole-love-quotes.jpg
 
You have to accept that some people, no matter what you do, are not going to like you. No matter how nice you are, they’re not going to approve of you. You have to be at peace with people not being at peace with you.
 
Kwamba Alikua Na Maisha Binafsi Kabla Hajateuliwa Si Hoja Ndio Maana Kwenye Taifa Lenye Watu Makini Kabla Ya Uteuzi Kunafanyika "Screening" Ili Kuyaangalia Hayo Maisha Binafsi Kama Yanaendana Na Uongozi, Pili Mteteeni Kwamba Ni "Mama Wa Taifa" Full Stop Hizi Hoja Nyingine Mnafeli
Hizi habari kuwa ni mama wa taifa nnadhani tunakosea tukizizungumza hadharani either ni kweli au tetesi.Hatumtendei haki Mama wa taifa halisi.Tunamhuzunisha.
 
Kwanza naomba mods msiuhamishe huu uzi kwenye forum ya MMU. Maana lengo lake ni kuboresha mahusiano zaidi
Kwa atakaye kuwa wa kwanza kuchangia chochote ndio mwanzilishi wa mada bila kujali. unaweza kum-qoute na kureply na yeye bila hiana ni vizuri ajibu, hiyo itasandia watu kuwa na maongezi ya wazi na ikitokea maongezi yakanoga ni vizuri mkahamia PM. Ili kuboresha mawasiliano yenu.
Ila lazima uwe makini na usiweke mawasiliano yako binafsi hapa.endapo kama unataka kumpa mtu unayemtaka ni vema ukaenda PM.
karibuni
 
Wanakuja.
 
sawa mkuu Tuanze sasa
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom