MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Dada Vinci upo ???Missing you..😍😍
Nakutumia ule mzigo siyo muda
Dada Vinci upo ???Missing you..😍😍
Nianze na ww kwanini unapenda kuniponda lakini yan popote ukinikuta lazima unitwange tusii?Wanakuja.
Ni kweli Num ila sio sahihi kuendelea kumhizunisha.Keshahuzunika mpaka kapata sugu,akina mama wanapata mateso sana,ndoa hizi zione nje tu zinang'aa ila ndani maumivu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] baki hapa kwa siku mbili hivi maswali yako yatapata majibu stahikiSamahan mkuu[emoji120]we ni tour guider?
Huwa haziishi, zitwange tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimejikuta mimetwanga likes kama zote
Najaribu kukujaketi sijui utapenda?Ngoja nione kama kuna atakaenikoti
Unarudi kule kule! soma maudhui ya mada! mada inataka nini? halafu hakuna anayekuponda bali unajiponda wewe mwenyewe kwa kuwaza kua kila thd lazima uchangie pumba,JF ni kisima cha maarifa,so mtu kama wewe unahitaji msaada wa kurudishwa kwenye mstari.Nianze na ww kwanini unapenda kuniponda lakini yan popote ukinikuta lazima unitwange tusii?
Tuanzie hap kwanza
Me nimalizie na ww. Natamani kukuona live.Nianze na ww kwanini unapenda kuniponda lakini yan popote ukinikuta lazima unitwange tusii?
Tuanzie hap kwanza
😡😡😡😡😡😡😡😡 Nipo muu MLDada Vinci upo ???
Nakutumia ule mzigo siyo muda
Yani hapo kabla ya September lazima nipaende. Pazuri sana yani. Kama uliona video ya Amen ya Maua Sama na Ben Paul ndo hapo walifanyia videoAmazing,fanya dai moja twnde mamie
Amin, ubarikiwe sana Malkia. Pokea zawadi ya maua ya KituloView attachment 822532Mwenye Enzi Mungu atupe HEKIMA NA BUSARA KULINDA NA KUZIHESHIMU HIFADHI ZETU WALAHI
Haya tunawasubili kwa hamWanakuja.
Asubuhi yako ikoje lakinisawa mkuu Tuanze sasa