Nitapendaga mwaegoNajaribu kukujaketi sijui utapenda?
Ila kweli inabidi akuambie ukweli na umefanya vizuri kumchana hapa live ili na mashiadi wawepoNianze na ww kwanini unapenda kuniponda lakini yan popote ukinikuta lazima unitwange tusii?
Tuanzie hap kwanza
Nitaomba ufafanuzi....mwaego.... SijakuelewaNitapendaga mwaego
bbadeNajaribu kukujaketi sijui utapenda?
The Garden of GodAmin, ubarikiwe sana Malkia. Pokea zawadi ya maua ya KituloView attachment 822532View attachment 822534View attachment 822533
Hii platform ya kuwakutanisha watu hivyo sio mbayamantiki yako ni ipi??
Wasubili kwa hamuNgoja nione kama kuna atakaenikoti
Kumbe umeshamuonaNajaribu kukujaketi sijui utapenda?
Usiharibu thd yako kwa mikono yako mwenyeweIla kweli inabidi akuambie ukweli na umefanya vizuri kumchana hapa live ili na mashiadi wawepo
Pamoja na wewe, nimekuona piaKumbe umeshamuona
Ukiwa mtoto tabia kama hizi ni kawaida. Msamehe tuuNianze na ww kwanini unapenda kuniponda lakini yan popote ukinikuta lazima unitwange tusii?
Tuanzie hap kwanza
Ndugu uniq, HabariHodi Mjini. Andjul upoo
Niona nyie mmeanzia mbali ngoja tuwache wawiliUnarudi kule kule! soma maudhui ya mada! mada inataka nini? halafu hakuna anayekuponda bali unajiponda wewe mwenyewe kwa kuwaza kua kila thd lazima uchangie pumba,JF ni kisima cha maarifa,so mtu kama wewe unahitaji msaada wa kurudishwa kwenye mstari.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh dogo asubuh asubuh
Hahahahaha... nahisi aekuelewaMe nimalizie na ww. Natamani kukuona live.
Da!pazur sn...fnya kwl hio septmber mamieYani hapo kabla ya September lazima nipaende. Pazuri sana yani. Kama uliona video ya Amen ya Maua Sama na Ben Paul ndo hapo walifanyia video
Kwema?Abeee