Salama kabisa ...za kunipotea?Kwema?
Umeanza kujipendekeza? jikite kwenye mada.Ukiwa mtoto tabia kama hizi ni kawaida. Msamehe tuu
Hii inaitwa kujtekenya afu unacheka mwnyewe...Jiwe bn[emoji23][emoji23]
Mwaego ni kama mwaya, au fanya rafiki tuNitMwaego ufafanuzi....mwaego.... Sijakuelewa
Sijakupotea bali JF ndio ilipotea.Salama kabisa ...za kunipotea?
mbwa mwitu hatari sanaAskari wa miamvuli[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 822537
mama na mwana...
Itabidi tukaishtaki, imetuletea usumbufu na upotevu muda.Sijakupotea bali JF ndio ilipotea.
Oohh asante rafiki...nimekuelewa sasaMwaego ni kama mwaya, au fanya rafiki tu
Tuwasamehe tu.Itabidi tukaishtaki, imetuletea usumbufu na upotevu muda.