Basi nitajitahidi kuwasamehe....lakini......Tuwasamehe tu.
iko powa mkuu sijui kwako chamdeko ana malalamiko naomba umjibu tafadhaliAsubuhi yako ikoje lakini
Mmmh akina nani hao wananchi duh
Ngoja nione kama kuna atakaenikoti
Wacha tuone mkuuWasubili kwa hamu
Vita ni fita mura havichagui nani ataumia nani haumii ili mradi mlengwa anaipata pata freshNi kweli Num ila sio sahihi kuendelea kumhizunisha.
Uchoko siachi mkuu labda uniueAcha uchoko wewe
SijuiHuyu dogo wa wapi?
Yapi tena rafikiiko powa mkuu sijui kwako chamdeko ana malalamiko naomba umjibu tafadhali
Naona tayariWacha tuone mkuu
Yaani hapa najishauri sijui nizame pmNaona tayari
Ngoja negesha hapa kwanza ndio uzameYaani hapa najishauri sijui nizame pm
Mkuu naweza kuchelewa hapa kumbe watu washazamaNgoja negesha hapa kwanza ndio uzame
Huyu jamaa maji sana.. Afu kuna Watanzania wana support ujinga huu.Hii inaitwa kujtekenya afu unacheka mwnyewe...Jiwe bn[emoji23][emoji23]
Wasihusishe uteuzi na umama wa taifa.Kwa mfano walitakiwa kusemaje, instead.?
Kwani umeshaona wa kumzamia???Mkuu naweza kuchelewa hapa kumbe watu washazama
Wasihusishe uteuzi na umama wa taifa.