Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh !!!

Yaani keshadeti wanaume wote wa humu na kuona wote ni hohehahe?

Mkumbushe haka kakanuni: You attract what you give. Yawezekena na yeye ni hohehahe ndo maana anaattract hao mahohehahe wenzake...

Kwema lakini?
Huku Alhamdulillah,namshukuru Mungu kwakweli[emoji120][emoji120]
Sijui wewe huko
 
Unarudi kule kule! soma maudhui ya mada! mada inataka nini? halafu hakuna anayekuponda bali unajiponda wewe mwenyewe kwa kuwaza kua kila thd lazima uchangie pumba,JF ni kisima cha maarifa,so mtu kama wewe unahitaji msaada wa kurudishwa kwenye mstari.
Ahahahaa
Demiss vs icebreaker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…