myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukimuona yy na miss. Chagga wasalimie sanaNamtafuta masai dada mwenye taarifa zake ani PM.
Do we have problem, Bro?Of course. Wewe ni mwerevu. Waache hao wapumbavu wanaosupport huo ujinga wafanye hivyo. Ni haki yao. Na kibaya zaidi huna hata la kuwafanya [emoji16][emoji16][emoji16]
Domokrasia - msumeno butu unaokereza kote kote !
Ni nani aliyekuwa anapewa huo ushauri? Mwakaleli bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
No problem bro. Not at all. We cool bro...Do we have problem, Bro?
Now this is what i call dilapidated infrastrcture
Ni nani aliyekuwa anapewa huo ushauri? Mwakaleli bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Amenikumbusha dogo mmoja wakati ndo anaanza haya mambo alikaendea kademu akakaambia laivu bila chenga "Flora. Nataka nikutafune". Kaflora kalitimua mbio kama ndama. Akaja kutusimulia. Tulicheka mpaka mbavu zikatuuma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Juwa ma GTker haimaanishi hakuna funny time... Na sio lazima mda wote tuwe tunasoma nodo tu za GTker..Ni kukosa mawazo mapya! Ma-Great Thinker wapo pembeni, JF ikijiishia!
Wako vizuriiAhahahaa
Demiss vs icebreaker
Aisee, hata sifahamu mkuuOk! Hivi nani Mkuu wa chuo kwa sasa?
Uzi wa kujenga urafiki. Nlivyoku quote ushakua rafiki yangu.Jaman kWa aliye elewa me kichwa ngumu cjaelewa
Hahahaha babu ndo mm kidotiWe motto acha zako... mbona nimeipiga akapokea Mkuu wa wilaya ya Chicharawe?
Unataka wani pyu pyu pyu???