GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Notification sikupata,Nimesubiria uniombe nikaona Kimya...
Nikaamua kubadili tu...
Ahhhaa hiyo kazi ya kubembeleza naiweza sana.
Notification sikupata,Nimesubiria uniombe nikaona Kimya...
Nikaamua kubadili tu...
HahaMmhh ila unaweza rudisha sasa mawasiliano huenda alikuwa na haraka
Notification sikupata,
Ahhhaa hiyo kazi ya kubembeleza naiweza sana.
Tukipata vijana wanaojua kupigania haki za wanyonge kama wewe..basi taifa hili litafika mbali sanaMmhh ila unaweza rudisha sasa mawasiliano huenda alikuwa na haraka
Aaaaaaarg[emoji16] [emoji16] nilimuaga kwa kumaanisha
Ndio mtu hujifunza hivyo amejifunza tayari we mchukulie kwa upole na upendoHaha
Nimejikuta nacheka kwa comment yakoTukipata vijana wanaojua kupigania haki za wanyonge kama wewe..basi taifa hili litafika mbali sana