moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh !!!
Yaani keshadeti wanaume wote wa humu na kuona wote ni hohehahe?
Mkumbushe haka kakanuni: You attract what you give. Yawezekena na yeye ni hohehahe ndo maana anaattract hao mahohehahe wenzake...
Kwema lakini?