MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Daaa umekukumbusha wapi mzee ???[emoji4] [emoji4] [emoji4] ""WestLife"" hao mkuu goma linaitwa ""My love"" kama sijakosea,Duuh umenikumbusha mbali aisee.
Daaa umekukumbusha wapi mzee ???[emoji4] [emoji4] [emoji4] ""WestLife"" hao mkuu goma linaitwa ""My love"" kama sijakosea,Duuh umenikumbusha mbali aisee.
Mkuu Pyaar kwema huko.15:43
Oooh why?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni mzuri wa sura, shepu lakini anashindwa kutimiza majukumu yake hapo kwa bed anategemea umridhishe, Thubutuu[emoji3] [emoji3] na aibe aone kama hajavunjwa nyonga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ladies kwanzia leo ukienda kwa mwanaume na asikuridhishe iba kitu hapo ndani. Usikubali kupotezewa muda.
Hahaha wa dizaini hyo hata kutambulishwa ndio huwa wanatambulishwa hv,, huyu ndio Mama James haitwi shemeji,,, wanaume tunashida mahaliMy wife said, "Are you ashamed to walk with me?"
I said, "Why are you shouting?"
She said, "Because you're on the other damn side of the road."
[emoji1][emoji23][emoji24][emoji23][emoji23][emoji6][emoji13]
Word...Na yeye asiponiridhisha nimfanyeje?[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni mzuri wa sura, shepu lakini anashindwa kutimiza majukumu yake hapo kwa bed anategemea umridhishe, Thubutuu[emoji3] [emoji3] na aibe aone kama hajavunjwa nyonga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naelewa sana, kuna watu hawataki kuelewa ukweli huuKama hatukemei UJINGA na UVUNJISHAJI WA KATIBA YETU tutashindwa kuelimishana. Na hapo tusilalamike kimya kimya ” Maana dereva akiwa amelewa na wewe unajua lakini unakaa kimya ajali ikitokea you too are RESPONSIBLE. Take ur seat as a citizen.