Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532925885312.jpg
 
Ujumbe Murua, tusipende sana kushangiliwa, huenda washangiliaji wanafanya hivyo wakiamini watapata fungu la fweza, huku wakikuacha uangamie kwa ubishi ulionao
Ego...Tunapenda kusifiwa hata kama tunaboronga...na walamba viatu ni mabingwa wa kumwaga sifa...

Adolf Hitler mpaka anazingirwa Ujerumani inaangamia washangiliaji wake walikuwa ndo kwanza wanaandaa documentary ya kuonyesha mafanikio yake.

Saddam Hussein Baghdad inapigwa ka waziri kake ka habari kale ka Tariq Aziz bado kanasema kuwa eti Republican Guard wamefanikiwa kuyaangamiza majeshi ya makafiri walioivamia Jamhuri Takatifu; na hakuna haja ya kuwa na wasiwasi....

Kusikiliza maoni kinzani (japo inataka moyo) ni mojawapo ya sifa kuu ya viongozi waliofanikiwa...

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Sisi tunawasikiliza wanaotupinga? Huko kwenye familia zetu kukoje? Kazini?
 
Hahaha wa dizaini hyo hata kutambulishwa ndio huwa wanatambulishwa hv,, huyu ndio Mama James haitwi shemeji,,, wanaume tunashida mahali
Wanawake wengine wakorofi bro. Ukiona hivyo hata huko ndani hawasalimiani. Hata kugegedana ni kimya kimya tu. Ndoa we zione hivi hivi tu bro [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Last edited:
Word...Na yeye asiponiridhisha nimfanyeje?
Msindikize mpaka hapo nje ya jengo, atafika mwenyewe mahali atakapopata usafiri, kama mtaa una vibaka atajua namna ya kukabiliana nao mwenyewe[emoji3] [emoji3] pumbavu zake. Anabembelezwa wiki kadhaa atoe kitumbua watu wale anajishaua, kisha analeta kitumbua anashindwa hata kujituma[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Halafu hawa wazuri hawa unahangaika weee unaingia gharama kubwa siku ya siku kitandani nyodo kibao. Ukimgeuza hivi ooh mi hivyo siwezi. Oooh mi kubong'oa siwezi nitaumia shingo. Shwaini sasa ulikuja kufanya nini? Ulifikiri unakuja kucheza karata ama?
 
Back
Top Bottom