Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ujumbe Murua, tusipende sana kushangiliwa, huenda washangiliaji wanafanya hivyo wakiamini watapata fungu la fweza, huku wakikuacha uangamie kwa ubishi ulionao
Wasiyempenda atakuwa hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ego...Tunapenda kusifiwa hata kama tunaboronga...na walamba viatu ni mabingwa wa kumwaga sifa...Ujumbe Murua, tusipende sana kushangiliwa, huenda washangiliaji wanafanya hivyo wakiamini watapata fungu la fweza, huku wakikuacha uangamie kwa ubishi ulionao
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni mzuri wa sura, shepu lakini anashindwa kutimiza majukumu yake hapo kwa bed anategemea umridhishe, Thubutuu[emoji3] [emoji3] na aibe aone kama hajavunjwa nyonga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wanawake wengine wakorofi bro. Ukiona hivyo hata huko ndani hawasalimiani. Hata kugegedana ni kimya kimya tu. Ndoa we zione hivi hivi tu bro [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hahaha wa dizaini hyo hata kutambulishwa ndio huwa wanatambulishwa hv,, huyu ndio Mama James haitwi shemeji,,, wanaume tunashida mahali
Msichoke kuwaelewesha. Mwishowe wataelewa tu [emoji16][emoji16][emoji16]Naelewa sana, kuna watu hawataki kuelewa ukweli huu
Msindikize mpaka hapo nje ya jengo, atafika mwenyewe mahali atakapopata usafiri, kama mtaa una vibaka atajua namna ya kukabiliana nao mwenyewe[emoji3] [emoji3] pumbavu zake. Anabembelezwa wiki kadhaa atoe kitumbua watu wale anajishaua, kisha analeta kitumbua anashindwa hata kujituma[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Word...Na yeye asiponiridhisha nimfanyeje?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Halafu hawa wazuri hawa unahangaika weee unaingia gharama kubwa siku ya siku kitandani nyodo kibao. Ukimgeuza hivi ooh mi hivyo siwezi. Oooh mi kubong'oa siwezi nitaumia shingo. Shwaini sasa ulikuja kufanya nini? Ulifikiri unakuja kucheza karata ama?Msindikize mpaka hapo nje ya jengo, atafika mwenyewe mahali atakapopata usafiri, kama mtaa una vibaka atajua namna ya kukabiliana nao mwenyewe[emoji3] [emoji3] pumbavu zake. Anabembelezwa wiki kadhaa atoe kitumbua watu wale anajishaua, kisha analeta kitumbua anashindwa hata kujituma[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duh!!!