D
Nimeolewa..kwahyo inaapply jombaaHiyo ya 6 inaitegemea ya 9 maana kama sijaoa na hujaolewa ya 6 haiapply
Tuko wengi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hata mimi mkuu na nikikaa nacho kidogo tuu kinaniboa nakiweka pembeni.
Chumabani naogopa, tumalize tu hapa...Basi sawa, halafu nataka nikwambie ya chumbani, njoo kule.
Mmmhhh[emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji79] [emoji79]Nimeolewa..kwahyo inaapply jombaa
Hapo sawa na hongera kwa ndoaNimeolewa..kwahyo inaapply jombaa
Nilishawahi kusema hivyo hapaRaha ya mapenzi ni kuudhiana
Wapi numbisa alete sambusa tule...
Wangapi wakakubarNilishawahi kusema hivyo hapa
Hapa naona aibu; ya kiume lakini.Chumabani naogopa, tumalize tu hapa...
Aiseh!Ladies kwanzia leo ukienda kwa mwanaume na asikuridhishe iba kitu hapo ndani. Usikubali kupotezewa muda.
Ngoja nirejee ule uzi ila wengi walikataaWangapi wakakubar
Kwa vigezo au kwa mbwembwe tuNgoja nirejee ule uzi ila wengi walikataa