Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mshambuliaji nguli wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic alithibitisha bado wamo baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ yake ya kwanza katika Ligi Kuu Marekani.
Mshambuliaji huyo alifunga mabao hayo ndani ya dakika 24 za kipindi cha pili, akiitoa nyuma timu yake ya Los Angeles Galaxy na kuiwezesha kushinda kwa mabao 4-3, dhidi ya Orlando City.