Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,581
- 7,288
Mbegu za maboga
Mbegu za maboga wengi wamekuwa wakizizarau, lakini ni nzuri na zinakufanya ujisikie vizuri kila mara kama utatumia . mbegu za maboga zina faida nyingi , hasa katika maswala ya uzazi , ubongo, na pia kupunguza kasi ya magonjwa ya satani na magonjwa ya moyo.
Walevi wengi wazinzi tuu si ajabu kusepa na bar maids.Hao sasa pombe haziwafai.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]Huo nao una vitamini zake kwa wakati wake
Walevi wengi wazinzi tuu si ajabu kusepa na bar maids.
Sikweli bro,, kuna watu wakilewa hawataman tena wanawake,,, japo ni wachache wa namna hyoWalevi wengi wazinzi tuu si ajabu kusepa na bar maids.
Sikweli bro,, kuna watu wakilewa hawataman tena wanawake,,, japo ni wachache wa namna hyo
Eeeenilisikia pia zinaongeza nguvu za mgegedo armaaaaruuufuuu za kiume
Sikweli bro,, kuna watu wakilewa hawataman tena wanawake,,, japo ni wachache wa namna hyo
kumi kwa mmoja πππππππ pombe huwa inaondoa akili zote kutoka kichwa cha juu na kuzishift kichwa cha chini
achana na bar maids me nilishawahi kusepa na kama sio mwenye bar basi alikuwa meneja yule