Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532420738563.jpg
FB_IMG_1532293505694.jpg
 
Tupo hivi kwa sababu ya chakula tunachokula

Ingawa fikra zetu, matendo yetu, imani yetu yanafanya zinatufanya tujisikie vema kwa namna tunavyohisi, wachunguzi wa miili wanashauri chakula tunachokula kinasababisha madhara makubwa katika maisha yetu hasa mood zetu
 
Samaki.

Wild caught salmon na samaki wengine wenye mafuta ni chakula sahihi kinachosukuma na kusaidia kupata mood nzuri. Samaki hawa wamekusanya aina 11 za Vitamini na madini kwa ajili ya kutupatia furaha.

Na faida zingine nyingi kama vile kuongeza afya ya ubongo na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.N a pia samaki wana magnesium ya kutosha kwa ajili ya kutibu Huzuni iliopo ndani yako na uwezo wa kutuliza akili zetu, mishipa na misuli .
 
Matikiti

Nani hapendi matikiti? Juisi yake ni tamu , sio tu ina kufanya ujisikie vizuri unapokula , lakini pia limehakikishwa kuwa linaongeza furaha na ustawi.

Ingredient zinazofanya tikiti liwe jekundu, ni mojawapo zinazotufanya tuwe na furaha. Pia ukila tikiti linazuia kuzeeka haraka, utakuwa unaonekana kama kijana siku zote. Linashusha calories, na kukufanya uwe slim na kuwa mwenye furaha.

Pia tikiti lina uwezo wa kupigana na saratani mwilini mwako.
 
Mbegu za maboga

Mbegu za maboga wengi wamekuwa wakizizarau, lakini ni nzuri na zinakufanya ujisikie vizuri kila mara kama utatumia . mbegu za maboga zina faida nyingi , hasa katika maswala ya uzazi , ubongo, na pia kupunguza kasi ya magonjwa ya satani na magonjwa ya moyo.
 
Kitunguu Swaumu.

Ingawa nisingekushauri ule sana kabla ya hot date, Kitunguu swaum ni moja ya chakula cha kawaida kinachokufanya utabasamu.Hili ni jambo la msingi kwa sababu kina wingi wa madini ya chromium ambayo inarekebisha kiasi cha serotonin mwilini, kinaondoa maumivu na kuleta hali ya utulivu. Kinasaidia kuzalisha homoni mpya. Na kuleta nguvu zaidi katika hali yoyote.
 
Machenza

Vitamini C ya hali ya juu na chuma imo kwenye machenza, haya matunda pia yanasaidia kuleta furaha na kujisikia vizuri ukiwa unatumia . yanaongeza nguvu na yanasaidia ubongo kufanya kazi vizuri, pamoja na utamu wake lakini hayana sukari nyingi, kwa hio yatakufanya uwe na tabasamu kila mara.
 
Karoti.

Ni mboga ambayo imehakikishwa kuwa ni nzuri kwa ajili ya kukufanya uwe na furaha. Tuseme ukweli ni mboga gani nzuri kula hata kama haikupikwa kuliko karoti? Unavyotafuna ni nzuri kwa ladha yake , karoti pia inasaidia kusukuma mood yako kuwa nzuri kila wakati, na ina kiasi kikubwa cha vitamini C. Na karoti inatunza ngozi zetu vizuri na kusaidia usipatwe na madhara ya ubongo.
 
Back
Top Bottom