Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DjWrCjDXsAE_6t8.jpg
 
Kama wewe ni mpenzi wa chai , nina habari nzuri kwako.Watafiti wapya wamegundua kuwa kutumia kinywaji hiki cha chai mara kwa mara kinaweza kupunguza hatari ya kushuka kwa utambuzi wa matatizo ya akili karibu asilimia 50 na zaidi.
 
Kwa hio kama unaanza asubuhi yako kwa kunywa maji au kusaga juice yako uipendayo, unaweza kufurahia , lakini pia kutumia chai itakusaidia kuleta afya ya ubongo wako . Na kama huna tabia ya kupata kikombe cha chai kila siku asubuhi , Anza sasa ndio wakati wako wa kutumia chai kwa ajili ya manufaa ya ubongo wako.
 
Chai Ina Uwezo wa kutunza Ubongo wako Kwa kadri Unavyokua.

Watafiti walifanya uchunguzi kwa baadhi ya watu wenye umri wa kati ya miaka 30-50, na kuwauliza kuhusu utumiaji wao wa chai na halafu, baada ya kama miaka mitano waliangalia utambuzi wao na kuona kuwa taarifa zao ni sahihi, kutokana na mtindo wao wa maisha, hali yao ya matibabu, na kazi zao za kijamii. Matokeo yalikuwa, wale walikuwa wakitumia kinywaji cha chai kila siku walikuwa na afya nzuri ya ubongo kuliko wale ambao walikuwa hawana tabia ya kutumia kinywaji hiki.
 
Nitapataje Faida za Chai?

Habari nzuri ni kwamba ni rahisi kupata faida zake . Unachotakiwa kufanya ni kutumia chai. Matokeo yanaonyesha kwamba haijalishi unatumia chai ya rangi gani, nyeusi au kijani, au blue. Ilimradi ni chai tumia, haijalishi aina ya chai Ina maana chai unayoipenda. Kazi yake itakuwa imefanyika. Kwa bahati nzuri chai ina ladha nzuri. , hasa ukiwa unatumia wakati wa asubuhi au jioni na hata wakati wowote.
 
Kwa hio kama unaanza asubuhi yako kwa kunywa maji au kusaga juice yako uipendayo, unaweza kufurahia , lakini pia kutumia chai itakusaidia kuleta afya ya ubongo wako . Na kama huna tabia ya kupata kikombe cha chai kila siku asubuhi , Anza sasa ndio wakati wako wa kutumia chai kwa ajili ya manufaa ya ubongo wako.
Vipi kuhusu wale wanaoanza asubuhi yao kwa kikombe cha uji?
 
Kulingana na mmoja wa watafiti alisema , faida inaweza kuzidiana kutokana na kuhusishwa kwa mkusanyiko wa viungo kama iliki, mdalasini, pilipili mtama, au kwa kutumia mchaichai na vingine. Vitu ambavyo vinaweza kutunza afya ya mwili.

Kwa jinsi gani hasa ya kuzuia ugonjwa wa akili , wanasema bado kuna uchunguzi unafanyika . Lakini kwa wakati huu , chai itumiwe na mtu yeyote. Kila wakati unapohitaji kutumia tumia.
 
Back
Top Bottom