[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaha! Kuna dhehebu moja wanawake wanavaa sketi za malinda ndefu, halafu sheria ya kanisa haiwaruhusu kuvaa pichu...[emoji23][emoji23]..
Kuna siku dada mmoja wa dhehebu hilo alipanda bodaboda katika hali ile basi bahati mbaya ile sketi ikanasa kule kwenye mnyororo [emoji23][emoji23]....Mara paaaap wakala mweleka na dereva wake...Mambo yote hadharani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Vya motooooo mafuta mafuta,ukikibonyeza unasikia pwiii pwiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vya motooooo mafuta mafuta,ukikibonyeza unasikia pwiii pwiii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]....
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Usimtamani mke wa jirani yako, wala mnyama wake wa kufugwa....
Maandiko...ila ukiwa na majirani "wema" raha sana !!!