Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juana na watu wenye maadili tofauti na yako bila kuwaacha wanaofanyakazi tofauti na yako na usiache kushiriki michezo na matukio mbalimbali yanayofanyika kwenye jamii inayokuzunguka. Mambo haya yote uongeza upeo katika maisha yetu na kutuongoza kwenye njia ya kuelekea kwenye hekima.
 
Tano, ushauri wa kujifunza kutoka kwa watu wenye hekima. Kaa karibu na watu ambao ungependa wawe mashujaa wako. Ni jambo jema kukaa na watu ambao ni waumini wa maadili unayoyataka. Kuna mijadala ya kukuza upeo mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Jaribu kujifunza kutoka kwenye vikundi hivyo
 
FB_IMG_1532007248443.jpg
 
Back
Top Bottom