[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo tuko na shida sana,, yale huwa maneno huwa ya kujfariji tuUtasikia gari kama bajaji[emoji23]
Mwalimu wako hapo juu keshakuelewaHivi unaongelea Vitumbua Vitumbua au Vitumbua? [emoji23][emoji23]
Mwanaume arogwe awe kapanda hewani na kitambi chake, "mmmmhh, mwanaume mzima na kitambi chake anaendesha kigari cha ajabu...[emoji23][emoji23][emoji23]..Siku hizi kuna uber afadhari hata angepanda Uber.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo tuko na shida sana,, yale huwa maneno huwa ya kujfariji tu
Kakimbaumbau unakatia tu hata kwenye mbegi mkubwa unakwenda zako [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahhahaha!! JamaniKakimbaumbau unakatia tu hata kwenye mbegi mkubwa unakwenda zako [emoji16][emoji16][emoji16]
Ooooh boy ....Vya motooooo mafuta mafuta,ukikibonyeza unasikia pwiii pwiii
Umeona nini?Duh aiseeee
Wanasayansi wa Chuo Kikuu Guelph kilichopo Ontario, Canada wamesema kua#Bangi inaweza tumika kutibu tatizo la kichefuchefu hasa kwa wagonjwa wa Saratani bila kusahau #wamama wajawazito
Ooooh boy ....
View attachment 823092
Kwema za huko[emoji3] [emoji3]Salaam, barua nusu ya kuonana.
Kwema ndg?
Huku kwema kabisa...Twamshukuru Mungu.Kwema za huko[emoji3] [emoji3]
ianze kutumika bongo tu hakuna namna