Naona wadau wanakomaa waruhusu tuu
Mkuu mkuu. Gonga likes twende sawa. Mengine yaache [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiki ndio chamoto au?? ambacho kilibonyezwa kinalia pwiii pwiii?
Picha zake mwenyewe alafu zina mdharirishaKuweni makini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 823096
Utakua nayo[emoji23]
Wafanye kama huko Marekani. Inabidi uende kwa daktari na akuandikie kama dawa. Na wauzaji wawe wamepatiwa kibali na serikali na wana maduka yanayoeleweka. Na kiwango cha active ingredient kinapimwa kuona kama kinakidhi. Vinginevyo utaishia kuwa na taifa la wavuta bangi !!!waruhusu tu siwamesema inawasaidia wajawazito wasisikie kichefuchefu
Ndiyo. Sheria ya makosa ya mitandao imeandikwa kimitego sana. Eti kuziweka mtandaoni inabidi kumuomba ruhusa kwanza. Sijui kwa nini JK aliitia sahihi sheria hii na kujiharibia legacy yake kama mtu aliyeruhusu uhuru wa vyombo vya habari (usio na mipaka?)Picha zake mwenyewe alafu zina mdharirisha
Nini?Utakua nayo[emoji23]