Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karoti.

Ni mboga ambayo imehakikishwa kuwa ni nzuri kwa ajili ya kukufanya uwe na furaha. Tuseme ukweli ni mboga gani nzuri kula hata kama haikupikwa kuliko karoti? Unavyotafuna ni nzuri kwa ladha yake , karoti pia inasaidia kusukuma mood yako kuwa nzuri kila wakati, na ina kiasi kikubwa cha vitamini C. Na karoti inatunza ngozi zetu vizuri na kusaidia usipatwe na madhara ya ubongo.
 
.
Screenshot_2018-07-29-23-19-15-1.jpg
 
Baada ya miaka mingi ya kuhangaika na siri nyingi za kuboresha afya kutokana na matatizo yangu, nilitembelea madaktari wengi mbalimbali, nilifanya vipimo vingi vya aina na aina, nilitumia pesa nyingi bila ya kupata jibu kamili.

Lakini nilikuja kupata jibu rahisi sana
 
Nalo ni kuondoa sumu mwilini.

Miili yetu imejengwa kushughulikia vitu vya asili vinavyoweza kuyeyuka vizuri ( digestion) kupumua na kimetaboliki. Haikutengenezwa kwa ajili ya vitu vya kisasa tunavyotumia vyenye kemikali nyingi.

Njia pekee ya kufanya kwenye hili la kusafisha mwili wako kwa kuondoa sumu. Mahali ambapo kumepotea asilimia kubwa ya immune system, zilizo hai.

Njaa na hamu kwa pamoja vinakusukuma kufanya kitu kimoja cha msingi; nacho ni Kula. unaposikia njaa unafahamu ni kitu gani cha kufanya. Lakini kula ni zaidi ya kuondoa hamu yako. ni muhimu kama utatumia lishe ya kutosha na kupata vitamini ya kutosha na virutubisho vya kutosha
 
Kwenye vyakula unaweza kupata lishe nzuri zaidi, kuliko calories. Na watu wengi hufikiri kuwa ukitumia calories nyingi inatosheleza kwa kila kitu. Unapotea . kiasi cha calories kwenye chakula kinajulikana . ukila kidogo au ukila nyingi hakuna ubaya wowote.
 
Lakini lazima ufahamu kuwa 100 calories za snacks haziwezi kulingana na calories 100 za parachichi., kitu cha kuogopa ni katika aina ya calories unazojaribu kula kila siku. Hasa wakati unapoamua kusafisha mwili wako.kiasi kidogo cha karanga kinaweza kuwa na uzito wa kutosha wa calories. Lakini kuna vingi vilivyo vizuri humo ambavyo huwezi kupata sehemu nyingine
 
Chagua vyakula ambavyo vinaweza kurutubisha cell ndani ya mwili wako, kuliko kununua vyakula ambavyo haviwezi kukupatia virutubisho vilivyo muhimu.. Unapoamua kusafisha mwili , kuwa makini na kila chakula unachokula.

Hapa kuna baadhi ya njia za kusafisha sumu ndani yamwili.

1.Eat Clean
 
Ni muhimu kubadili mtindo wako wa chakula . ili kuepukana na magonjwa yanayosababishwa na hivyo vyakula vilivyokuwa tayari vimetengenezwa. Vyakula hivyo ni kama, maandazi, sukari, dairy, soy, na chumvi ya mezani, pamoja na cheese, nyama nyekundu, mayai na vinywaji vyote vya kiwandani. Vyakula hivi vinatuongezea magonjwa yasiohitajika kwenye miili yetu.

Wanawake kukosa uzazi , wanaume kukosa nguvu za kiume ni kutokana na vyakula , hakuna kitu kingine.
 
Plani siku 21 za kusafisha mwilini , eating clean., kupigana na magonjwa na kurudisha mwili wako katika hali ya kawaida. Pia kuna kuweka mwili wako kuwa safi kila siku kwa kula chakula chenye mlo kamili.

Vyakula kama leaf greens, maboga, na mbegu zake, parachichi, na zabibu, ni vyakula vizuri na ni uamuzi mzuri kula aina hii ya vyakula.
 
Back
Top Bottom