Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180731-001547.jpg
 
Ahsante mkuu mwongozo wenu humu tafadhari
Humu ni kila kitu isipokuwa siasa (kwa wingi) na mambo ya dini pamoja na picha za ngono. Siyo rahisi pia humu kukuta watu wanatoleana mapovu; na hata ikitokea tunasameheana na kusonga mbele. Tunajaribu kuishi kwa upendo. Ni uzi wenye kila kitu kinachopatikana hapa JF na wenye watu wa kila aina. Tunapeana likes kwa kila mtu tunacheka na kufurahi na siku zinaenda. Karibu sana !!!
 
Ahsante sana mkuu kwa mwongozo wako nimefurahi sana
 
Back
Top Bottom