Haya maviwanja ya golf haya yanatumia maji mamilioni na hata matrilioni ya galoni kila mwaka ili tu kufurahisha matajiri wachache. Shwaiini...
ahhahhahaha. Imebidi nicheke kwanguvu. Ndio naingia Tanga sasaYaani vijana wa kwenye uzi huu ni shwaini.
Hakuna cha Yego,ninge,sijui cole wala Davet. Ni afadhali uniq alijilipua kumuoa mwanamke mwenye rika la mama yake,ze resti hawajali rasilimali muda,wanajizungusha tuuuuu arrrrgh!!!
Ubusy huu umenikosesha ubuyu. Babe S anawasalimuKumbe na wewe una u Yego, si mwambie tu carba nakupenda... Nataka nikumwagie uji,utanipa konokono nimchezee hunipi? Fulu sitopu.... Kona nyiiiiiingi umepita njia ya Iyovi unarudi kwenu?
Shwaini zako