Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 864
- 1,818
Njema, zako?Habari zenu
Salama wakuu so niliwakimbiaga kido lakini nimerudi naombeni mnipokee tenaNjema, zako?
Kwa mikono miwili ktk ulingo.Salama wakuu so niliwakimbiaga kido lakini nimerudi naombeni mnipokee tena
Karibu tena kamanda. Tupo !!!Salama wakuu so niliwakimbiaga kido lakini nimerudi naombeni mnipokee tena
Wazee wa kutandaza mikeka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ahsante mkuu mwongozo wenu humu tafadhariKaribu tena kamanda. Tupo !!!
Kama kawaida.Wazee wa kutandaza mikeka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni mwendo wa like to likeAhsante mkuu mwongozo wenu humu tafadhari
Twendeni sawa basi ila huku mozambique hasa mkoa wetu hali si shwari sana tunalazimika kulala mapema mnoNi mwendo wa like to like
Humu ni kila kitu isipokuwa siasa (kwa wingi) na mambo ya dini pamoja na picha za ngono. Siyo rahisi pia humu kukuta watu wanatoleana mapovu; na hata ikitokea tunasameheana na kusonga mbele. Tunajaribu kuishi kwa upendo. Ni uzi wenye kila kitu kinachopatikana hapa JF na wenye watu wa kila aina. Tunapeana likes kwa kila mtu tunacheka na kufurahi na siku zinaenda. Karibu sana !!!Ahsante mkuu mwongozo wenu humu tafadhari
Kwa hivo umelala?Twendeni sawa basi ila huku mozambique hasa mkoa wetu hali si shwari sana tunalazimika kulala mapema mno
Ahsante sana mkuu kwa mwongozo wako nimefurahi sanaHumu ni kila kitu isipokuwa siasa (kwa wingi) na mambo ya dini pamoja na picha za ngono. Siyo rahisi pia humu kukuta watu wanatoleana mapovu; na hata ikitokea tunasameheana na kusonga mbele. Tunajaribu kuishi kwa upendo. Ni uzi wenye kila kitu kinachopatikana hapa JF na wenye watu wa kila aina. Tunapeana likes kwa kila mtu tunacheka na kufurahi na siku zinaenda. Karibu sana !!!