Nipo , kule nimefungaNikiona mmepotea tu hapa najua PM. Inahusika
Ingawa ujumbe siyo wangu, lakini nilitamani kusoma ila duuu, sijui umetumia lugha gani. Habari za asubuhi Pyaar .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, uoga huu acha kabisa..
Ama umo ndani peke yako unasikia kitu chadondoka chini ghafla,, unaanza kujihami kwa kuongea,, " Ona huyu nae, jichanganye uone moto wake Oooohoooo, mie sichezewi hovyo hovyo, waulize wenzio,, Nyambaaf" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Kumbe hauna lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu mzima kususa ni dalili za utoto
Sasa napendaje bila kawivu?Kumbe tayri umeanza wivu.. duh endelea kuatamia
Pamoja na kusoma hautakosa like [emoji106]mimi nitakuwa msomaji wa comment tu
Ili autendee haki uziChangia chochote chief
Kwanini lakini unapenda kuwa msomaji tu, keyboard yako haina herufi? [emoji6]mimi nitakuwa msomaji wa comment tu
Hujambo Kaka?Changia chochote chief
Angalia unaweza poteza muujiza wakoNipo , kule nimefunga
Sure mkuuIli autendee haki uzi
mi sijambo sijui wewe dadaHujambo Kaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwema Moudgulf...Uko byeee?Ingawa ujumbe siyo wangu, lakini nilitamani kusoma ila duuu, sijui umetumia lugha gani. Habari za asubuhi Pyaar .
Bado bado sanaAngalia unaweza poteza muujiza wako
Salama kabisami sijambo sijui wewe dada
sina cha kuchangia chiefChangia chochote chief
asantePamoja na kusoma hautakosa like [emoji106]
herufi zimekimbia zoteKwanini lakini unapenda kuwa msomaji tu, keyboard yako haina herufi? [emoji6]
Watu unafikilia cha kujibu....Kwanini lakini unapenda kuwa msomaji tu, keyboard yako haina herufi? [emoji6]
Na huyu naye unajuana naye?Hujambo Kaka?
Wafikirie tu....Watu unafikilia cha kujibu....