Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]mie cha kutumaini sina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, uoga huu acha kabisa..
Ama umo ndani peke yako unasikia kitu chadondoka chini ghafla,, unaanza kujihami kwa kuongea,, " Ona huyu nae, jichanganye uone moto wake Oooohoooo, mie sichezewi hovyo hovyo, waulize wenzio,, Nyambaaf" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Kumbe hauna lolote.
 
Mafuriko
Mji wa Puerto Ayacucho kwenye mkoa wa Amazonas nchini Venezuela umepigwa na mafuriko mapema leo baada ya mvua ya siku kadhaa
FB_IMG_1533017945203.jpg
 
Back
Top Bottom