Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Liberia George Weah akiwa na Didier Dragoba wakijiandaa na mechi maalum ya hisani jijini Monrovia
FB_IMG_1533011944446.jpg
 
Najua kama ni mtumiaji wa usafiri wa ndege utakuwa umekutana na taratibu za abiria kuzima simu wakati ndege inataka kupaa na kutua ila huenda ikawa hufahamu ni kwanini haswa unatakiwa kufanya hivyo, na inawezekana ulishajiuliza pia ina maana usipozima unaweza kusababisha ndege kupata ajali? jibu ni Hapana, isipokuwa unaweza kusababisha muingiliano wa mawasiliano kati ya rubani na waongozaji.
 
Vibrations au miungurumo ya simu na vifaa vingine vya electronics vinahusika kwa kiasi kikubwa kuvuruga mawasiliano mazuri kati ya rubani na wanaomuongoza, hivyo huwa tunashauriwa kuzima simu na vifaa vingine vya electronics wakati wa kupaa na kutua kwa ndege. Hiyo ni moja kati ya sababu kuu zilizotajwa kuhusiana na swali la ”Kwanini tuzime simu wakati ndege inaporuka na kutua”?.
 
UNAAMBIWA hivi, Kocha Jose Mourinho amewaomba mastaa wake wa Manchester United kusitisha mapumziko yao ili warudi haraka kuisaidia timu, hali ni mbaya.

Man United haijapata ushindi wowote kwenye mechi zake za kujiandaa msimu mpya na hivi karibuni walichapwa 4-1 na Liverpool kwenye michuano ya International Champions Cup, jambo lililomfanya Mourinho kupeleka lawama kwa uongozi kuwa hawafanyi usajili anaotaka.
 
Wachezaji nyota wa Man United kwa sasa wapo likizo wakijipumzisha baada ya kutoka kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Russia na miongoni mwao ni Paul Pogba, Jesse Lingard, Romelu Lukaku na Marouane Fellaini, ambao wote timu zao zilifika hatua ya nusu fainali.
 
Lakini jambo zuri ni kwamba Pogba, Lukaku na Fellaini wote wapo Beverly Hills na Lingard yupo Miami, huko huko Marekani wakijipumzisha.

Wachezaji wengine ni Marcus Rashford, Phil Jones, Ashley Young na wengineo wakiwa kwenye mapumziko, lakini sasa Mourinho amewaomba warudi kikosini kuokoa jahazi.
 
Back
Top Bottom