Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kanye West '41' amesimamisha kazi zake zote kwa sasa ili kuwa karibu na baba yake ambaye anaugua saratani ya tumbo. . . Mzee Ray West ambaye anapata matibabu mjini Los Angeles anaendelea vizuri na taarifa zinasema Kanye yuko pembeni yake muda wote. . . Miaka 11 iliyopita November, 2007 Kanye West alimpoteza mama yake mzazi Donda West. . . Baada ya kumpoteza Mama yake Kanye alibadilika sana na kuwa mtu mwenye msongo wa mawazo mpaka kufikia kiwango cha kutaka kujiuwa baada ya kutazama makala ya maisha ya mbunifu wa amavazi kutoka Uingereza Alexander McQueen faliyejiua mwaka 2010,akiwa na umri wa miaka 40. . . Kanye West ana watoto watatu na mke wake Kim Kardashi
 
NIYONZIMA KUTOENDA TENA UTURUKI. Kiungo wa klabu ya soka ya @simbasctanzania #HarunaNiyonzima sasa hatoweza tena kuungana na wenzake nchini #Uturuki lakini pia huenda kiungo huyo fundi akakutana na adhabu kutoka uongozi wa klabu ya soka ya Simba Sc kutokana na kile kinachoaminika kuwa ni utovu wa nidhamu. - Akizungumzia kuhusu hilo Kaimu mwenyekiti wa @simbasctanzania Bw. Abdallah maarufu kwa la "Try Again" alisema, " Haruna Niyonzima baado ni mchezaji wa simba sc na anakiwango kikubwa cha kuisaidia simba sc tulimpa ruhusa maalum ya mapumziko pamoja na matibabu kwao Rwanda,alitakiwa arudi tarehe 20 ili aweze kuungana na wanzake na hata passport yake tayari inavisa ya Uturuki lakini kwa sababu ambazo tumeshindwa kuzifahamu mpaka sasa kwanini Haruna hajajiunga na timu kwaajili ya preseason sisi kama uongozi akirejea tutamwita na tutamhoji kwanini amechelewa tutamsikiliza nini kimemchelewasha kabla hatujamuadhibu kulingana na taratibu zetu pindi mchezaji anapofanya kosa basi hoja atakazotupa tutashauriana na mwalimu kama ataweza kumpa program maalum ili accompasate yale waliyofanya wenzake lakini kwa sasa hatokwenda tena Uturuki maana siku zimekwisha". - Kwa taarifa hiyo huwenda kiungo huyo akakumbana na adhabu kali ili kuwa fundisho kwa wachezaji wengine endapo sababu zake zitakosa mashiko.
 
Maria Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…