This is what I call love
*******************************
The Lovers of Valdaro, discovered by archaeologists at a tomb in San Giorgio near Mantua, Italy. The couple have been holding one another for 6,000 years.
View attachment 823219
Kamekua. Yule mmasai wa Kenya aliyejitolea kutoa ng'ombe 200 akaoe akiona hivi anaumia. Dunia hii we acha tu !!!Maria Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823305
Nashukuru niko byee, vipi kipupwe kimeisha huko, maana huku uji unaisha kwa baridi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwema Moudgulf...Uko byeee?
Asee, mwendo wa fegi tu hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Maria Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa and yeye pamoja na mpenzi wake huyo wanasoma chuo kikuu cha Harvard ambapo penzi lao limeanzia hapo . Baba yake Rory ni mmiliki wa Insight Investiment Management Limited huko London wakati mama yake ni mhasibu .View attachment 823305
Unafikiri atakubali kumchukua moja kwa moja?? Huwa wanatamani tu akiwa anamilikiwa....#NUKUU “Mwanaume akikuibia Mke wako, kisasi kizuri ni kumuachia akae nae”
Sacha Guilty.
Mmmh, kisasi kizuri twakijua dada, hicho sawa, lakini kabla ya yote ni lazima aonje utamu wa fenesi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]#NUKUU “Mwanaume akikuibia Mke wako, kisasi kizuri ni kumuachia akae nae”
Sacha Guilty.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huyo naye atafute mkwavi mwenzake huko,[emoji3] [emoji3] [emoji3] mtu hata sigara havuti anataka mke!!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kamekua. Yule mmasai wa Kenya aliyejitolea kutoa ng'ombe 200 akaoe akiona hivi anaumia. Dunia hii we acha tu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huku burdani 100%100%Nashukuru niko byee, vipi kipupwe kimeisha huko, maana huku uji unaisha kwa baridi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] baridi ikiisha lazima ukwae mwana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huku burdani 100%100%