Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nichukue nafasi hii kumshukuru sana Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, John Magufuli, na Watanzania kwa uvumilivu wao, nimekaa kimya kwa muda mrefu kwenye hizi kazi zangu za kila siku watu wengi wamekuwa wakinifuatilia kwa ukaribu, natamka wazi leo, zikiliwa zimesalia siku tano kabla ya tukio, leo natangaza rasmi, kwa utashi wangu, bila kununuliwa, wala kushawishiwa na mtu natangaza rasmi najiunga kujiunga na kuiunga mkono timu ya Kivule UNITED
 
1913BF7B-C2D3-4B51-83C9-9BE4FFF18FDB.jpeg
 
Back
Top Bottom