Yaah, njoo nikufundishe.
Ukweli mtupu bro!!!Na ukisahau ukamuacha huko unakoenda utateseka sana. Mali zitaisha na/au utaishi maisha ya ajabu na kufa kifo cha aibu !!!
Tukutane today before post meridiem.Itabidi uje kunichukua...au tukutane wapi?
Tukutane today before post meridiem.
Za miaka?I’m finding comfort in our memories, while you seek comfort in someone else.
Complications nying busy kweli kweli,najitahidi nimalizie mwezi huu tuUmefanya kazi nzuri sana.
Kwanini, lakini?
Kweli kabisa, hizi cases zipo nyingi tu.... Ila ukikuta mume ni mtata, atachukua simu aone kweli uliita uber??, hapo ndo ugomvi utakapoanzia akikuta ndivyo sivyo.Hahahha na hzo Uber sasa hv ndoa nyingi zipo mashakani kwa ajiri ya Uber,, mkeo analetwa hadi home kwako anashuka midnight mwanaume akiuliza anaambiwa Uber hyooo,,, kumbe gari la bosi wake
Complications nying busy kweli kweli,najitahidi nimalizie mwezi huu tu