Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Adamu hakuwahi kuwa na nyege kabla ya kula tunda; aliishi maisha ya utakatifu pamoja na msaidizi wake Eva....Baada ya kula tunda ndipo alipofunuliwa na kujihisi yu mtupu, b4 hakuwahi kujua konokono ina ladha gani..Baada ya kuhasi ndipo ghadhabu ya Mungu ilipowaka juu yake na kumpa maisha ya tabu, kula kwa jasho, kuzaa kwa uchungu (Eva), kuzaliana....Basi tangu hapo Adamu akamjua Eva nao wakaanza maisha ya kudabuana... (Biblia)
Kabla, Adamu hakuwahi kuhisi nyege..
Asante kwa Mahubiri
 
FB_IMG_1533029706197.jpg
 
Back
Top Bottom