Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vitu gani sasa kaongea, likizo ni muhimu kwao.....Namna ya kuitumia atajua mwenyewe muombaji, aidha akalime ama akanywe pombe...
Wabaki majumbani wasaidie kulea watoto na siyo kukesha kwenye mabaa. Micro management hata kwenye mambo yasiyowezekana kisa kiki...Hovyo tu !!!Vitu gani sasa kaongea, likizo ni muhimu kwao.....Namna ya kuitumia atajua mwenyewe muombaji, aidha akalime ama akanywe pombe...
Afadhari kukaa kimya tu kama hakuna la kuongea lenye tija....Siku zenyewe 4 tu.Wabaki majumbani wasaidie kulea watoto na siyo kukesha kwenye mabaa. Micro management hata kwenye mambo yasiyowezekana kisa kiki...Hovyo tu !!!
Awkward
I do trust me!Do you even remember what you promised
Haiwezekani. Maziwa lazima yakamuliwe. Yasipokamuliwa kinena huvimba na ni maumivu na mateso makali [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], pembe unawashikisha wote, mwenye nia atakuwa mvumilivu na mwisho wa siku atakamua maziwa.
Mimi yangu umeionea wapi aisee ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naifahamu ndiyo...tena zaidi ya wewe uliyenayo.
[emoji23][emoji23][emoji23], mkuu wapi nimesema nimeiona ya kwako?Mimi yangu umeionea wapi aisee ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti gavana !!!Amkeni kumekucha enyi magavana.[emoji23]View attachment 823956
Wanajichanganyaaa[emoji23][emoji23]Mbwa wa taifa kapatikana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 824267
Hahahahahha!Haiwezekani. Maziwa lazima yakamuliwe. Yasipokamuliwa kinena huvimba na ni maumivu na mateso makali [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️