MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Huyu Pyaar huyu, naona yuko kwenye mchakato wa kunidhalilisha hapa.Heshima kwako pia. Naona mnajadili testosterone na profesa wetu wa uzi. Nafuatilia mjadala [emoji16][emoji16][emoji16]
Lakini hataweza kabisa, mpango wake mchafu mimi nimeujua