myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana tulienda na dem hoteli flani nkakauliza katakula nini... si unajua tabia za madem .. ntakula kenye utakula beb ... mimi ni nani! Nikapiga order .. " !!Chai moto na mandazi saba!"[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15].asubuhi nilipata text ... I've moved on.[emoji53][emoji53][emoji53]shit.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*WASICHANA_WA_LEO:
*Jamaa yupo ndani ya Range Rover yake mpyaaa na msichana ambae ni mpenz wake
*Jamaa*: Kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha
*Msichana*: Siri gani iyo mpenz wangu?
*Jamaa*: Nimeoa
*Msichana*: *Weee* *umenishtua sana, mimi nilifikiri hili gari sio lako!* [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji51][emoji51] Wadada akili zao wanazijua wenyewe....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniUkikalalia hako kengine ni madakesi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema shem?
Hahahahaha! Yoooo!Nogambaki mukazi wange? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
(Onyo: Najua hujui maana yake. Kamwe usiombe kujua nimeandika nini na ukijua mi simo. Kaone !!!) [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Aiseh!nilihisi kama yuko nekedi lol![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante,, poleni mnaokaa kwa mashemeji
Chezea bia na kitimoto wewe