Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama unashindwa kuacha hio tabia ya kula vitu vidogo vidogo usiku , unajua jinsi uamuzi unavyokuwa mgumu, kwa nini upate shida hio baada ya kula chakula cha kutosha cha usiku ? Na utawezaje kuacha hio tabia?

Kwa nini nakula vitafunio usiku?
 
Fikiria imefika saa mbili usiku na uko tayari kulala , umeshakula .umefanya kazi siku nzima na umechoka. Ni pamoja na kutengeneza chakula kizuri kwa siku hio sio rahisi.

Mwisho wa siku huna nguvu , unapokaa kwenye kochi na kuwasha luninga yako, kitu cha kwanza unachokiona ni chips kuku, ice cream, soda, na cookies. Hata kama ulikula saa kumi na mbili na nusu, lakini unasikia njaa kwa sababu ya kuona na kutamani.
 
Kwa mifano hii napendekeza, kuanza kujidhibiti mwenyewe hasa wakati ukiwa umechoka. Unaweza kuepuka vitu hivyo hata kama unajisikia kuwa na stress za aina gani au unakuwa umeboreka . Kitu cha kufanya ni kutokuweka hivyo vitu nyumbani kwako . kila unaposikia kutafuna ukienda kwenye friji huwezi kupata , matokeo yake , utaamua kubaki na hamu yako.
 
Wakati mzuri wa kula ni kuanzia saa kumi na mbili na nusu mwisho saa moja usiku. Huu ndio muda mzuri wa kula . sasa hapo kuna kazi kwa wale ambao wamezoea kula saa tatu usiku au saa nne usiku. ..

Hapa ni kwa ajili ya watu wote wanaotaka kupungua uzito na kuwa na afya nzuri , sio sheria . kwa sababu hio kifungua kinywa unaweza kupata kuanzia saa moja asubuhi kama kawaida kiwe ni cha nguvu.
 
Wakati mzuri wa kula ni kuanzia saa kumi na mbili na nusu mwisho saa moja usiku. Huu ndio muda mzuri wa kula . sasa hapo kuna kazi kwa wale ambao wamezoea kula saa tatu usiku au saa nne usiku. ..

Hapa ni kwa ajili ya watu wote wanaotaka kupungua uzito na kuwa na afya nzuri , sio sheria . kwa sababu hio kifungua kinywa unaweza kupata kuanzia saa moja asubuhi kama kawaida kiwe ni cha nguvu.
 
*WASICHANA_WA_LEO:

*Jamaa yupo ndani ya Range Rover yake mpyaaa na msichana ambae ni mpenz wake
*Jamaa*: Kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha
*Msichana*: Siri gani iyo mpenz wangu?
*Jamaa*: Nimeoa
*Msichana*: *Weee* *umenishtua sana, mimi nilifikiri hili gari sio lako!* [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

[emoji51][emoji51] Wadada akili zao wanazijua wenyewe....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utafanyaje kwa wewe ambaye unasikia njaa baada ya kula chakula chako muda wa saa moja usiku.

Unaweza kula vyakula ambavyo havina matatizo kama vile matango, nyanya, vitunguu, au tafuna mbegu za maboga.

Au unaweza ukaanza kusoma kitabu ambacho kitakuweka bize na hutasikia njaa na wakati huo unaweza kuwa na kikombe cha chai ya tangawizi na mdalasini.
 
Tambua akili yako inakuambia nini. Mara nyingi kula kwetu inaletwa na msukumo tunaojiambia wenyewe. Mimi nimekuwa na tabia moja kuwa , nimekula vizuri leo, nahitaji niheshimu utaratibu wangu, kwa sababu hivi vitu havitaisha siku zote vipo. Lazima tuamini kuwa hatutaweza kuwa na furaha kama tukiendelea kula kula kila mara , hasa wakati wa usiku.
 
Back
Top Bottom