Do it sis...iginoa lisiti...Google Goddess Isis!
Puliziii
Kwa kifupi: Malkia Isis alikuwa mungu wa muhimu katika Misri ya kale. Alizaliwa na Nut (mungu wa anga) na Geb (mungu wa dunia). Alikuwa na kaka wawili: Osiris, Seth na dada mmoja: Nephthys. Ndugu wote hawa walikuwa pia ni miungu. Baadaye aliolewa na kaka yake Osiris na wakazaa mtoto wa kiume aliyeitwa Horus. Baadaye kulizuka bifu la kugombea madaraka na Seth akamuua Osiris na ili kukata mzizi wa fitina kabisa akamkata kata vipande vipande na kuvitawanya sehemu mbalimbali za Misri; na kujichukulia madaraka. Hata hivyo ISIS alifanikiwa kuvikusanya vipande vya kakake (na mumewe) Osiris na akaweza kumfufua kwa kutumia nguvu zake za Magic.You have not answered my question regarding "ISIS" ....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Kwa kifupi: Malkia Isis alikuwa mungu wa muhimu katika Misri ya kale. Alizaliwa na Nut (mungu wa anga) na Geb (mungu wa dunia). Alikuwa na kaka wawili: Osiris, Seth na dada mmoja: Nephthys. Ndugu wote hawa walikuwa pia ni miungu. Baadaye aliolewa na kaka yake Osiris na wakazaa mtoto wa kiume aliyeitwa Horus. Baadaye kulizuka bifu la kugombea madaraka na Seth akamuua Osiris na ili kukata mzizi wa fitina kabisa akamkata kata vipande vipande na kuvitawanya sehemu mbalimbali za Misri; na kujichukulia madaraka. Hata hivyo ISIS alifanikiwa kuvikusanya vipande vya kakake (na mumewe) Osiris na akaweza kumfufua kwa kutumia nguvu zake za Magic.
Isis anaonekana kama kiwakilishi cha mama mkamilifu kutokana malezi sahihi aliyompa mwanawe Horus. Inasemekana hata taswira za Bikra Maria kama mama mkamilifu kwa mwanawe Yesu Kristo zimetokana na malkia huyu wa kale kutoka Misri. Anatazamwa pia kama mke bora aliyekuwa tayari kumpigania mumewe hadi kumfufua. Alikuwa mungu wa muhimu aliyeabudiwa ndani na nje ya Misri na mpaka leo anaabudiwa na watu mbalimbali duniani.
View attachment 825098View attachment 825099
(Sis, unayakumbuka maelezo haya ambayo niliwahi kuyaandika zamani sana wakati ule nami nikijibidisha ili kuwa angalau na fununu juu ya Godess huyu mpendeka?)
Asante sanaPoa.
Ahsante sana SYB.Kwa kifupi: Malkia Isis alikuwa mungu wa muhimu katika Misri ya kale. Alizaliwa na Nut (mungu wa anga) na Geb (mungu wa dunia). Alikuwa na kaka wawili: Osiris, Seth na dada mmoja: Nephthys. Ndugu wote hawa walikuwa pia ni miungu. Baadaye aliolewa na kaka yake Osiris na wakazaa mtoto wa kiume aliyeitwa Horus. Baadaye kulizuka bifu la kugombea madaraka na Seth akamuua Osiris na ili kukata mzizi wa fitina kabisa akamkata kata vipande vipande na kuvitawanya sehemu mbalimbali za Misri; na kujichukulia madaraka. Hata hivyo ISIS alifanikiwa kuvikusanya vipande vya kakake (na mumewe) Osiris na akaweza kumfufua kwa kutumia nguvu zake za Magic.
Isis anaonekana kama kiwakilishi cha mama mkamilifu kutokana malezi sahihi aliyompa mwanawe Horus. Inasemekana hata taswira za Bikra Maria kama mama mkamilifu kwa mwanawe Yesu Kristo zimetokana na malkia huyu wa kale kutoka Misri. Anatazamwa pia kama mke bora aliyekuwa tayari kumpigania mumewe hadi kumfufua. Alikuwa mungu wa muhimu aliyeabudiwa ndani na nje ya Misri na mpaka leo anaabudiwa na watu mbalimbali duniani.
View attachment 825098View attachment 825099
(Sis, unayakumbuka maelezo haya ambayo niliwahi kuyaandika zamani sana wakati ule nami nikijibidisha ili kuwa angalau na fununu juu ya Godess huyu mpendeka?)
Asante sanapoleni mnaolea nyumbani
Indeed!Kwa kifupi: Malkia Isis alikuwa mungu wa muhimu katika Misri ya kale. Alizaliwa na Nut (mungu wa anga) na Geb (mungu wa dunia). Alikuwa na kaka wawili: Osiris, Seth na dada mmoja: Nephthys. Ndugu wote hawa walikuwa pia ni miungu. Baadaye aliolewa na kaka yake Osiris na wakazaa mtoto wa kiume aliyeitwa Horus. Baadaye kulizuka bifu la kugombea madaraka na Seth akamuua Osiris na ili kukata mzizi wa fitina kabisa akamkata kata vipande vipande na kuvitawanya sehemu mbalimbali za Misri; na kujichukulia madaraka. Hata hivyo ISIS alifanikiwa kuvikusanya vipande vya kakake (na mumewe) Osiris na akaweza kumfufua kwa kutumia nguvu zake za Magic.
Isis anaonekana kama kiwakilishi cha mama mkamilifu kutokana malezi sahihi aliyompa mwanawe Horus. Inasemekana hata taswira za Bikra Maria kama mama mkamilifu kwa mwanawe Yesu Kristo zimetokana na malkia huyu wa kale kutoka Misri. Anatazamwa pia kama mke bora aliyekuwa tayari kumpigania mumewe hadi kumfufua. Alikuwa mungu wa muhimu aliyeabudiwa ndani na nje ya Misri na mpaka leo anaabudiwa na watu mbalimbali duniani.
View attachment 825098View attachment 825099
(Sis, unayakumbuka maelezo haya ambayo niliwahi kuyaandika zamani sana wakati ule nami nikijibidisha ili kuwa angalau na fununu juu ya Godess huyu mpendeka?)
Polen mliosoma hii commentpoleni wagonjwa wote
Ina maana kupata michubuko ndo raha yao?Zimbabwe na Swaziland kule wanawake "hujikausha" makusudi wakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wanaume ndo watadata. Matokeo yake mila hizi zimerahisisha maambukizi ya UKIMWI. Mambo bila mnato na zile nyimbo za Mwakaleli za "fyoko fyoko" mambo wala hayanogi.
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Naomba shikamoo yangu shem [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Mabinti wa Kisukuma hufanya hivyo. Salamu zote hata kama ni nusu saa wao wako chini. Bakia hapo hapo usinyanyuke mpaka nije nikushike mkono nikunyanyue...Ina maana kupata michubuko ndo raha yao?
Raha ya konokono utelezi bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]shikamoo shemeji,habari ya uzima?[emoji120][emoji120][emoji120](itikia mapema maana nimepiga magoti[emoji16] na miguu inauma)
Asante mkuu. Hata mimi nilipoona ISIS kwa mara ya kwanza nilidhani ni hawa magaidi katili wasio na huruma. Nilipoamua kujielimisha kidogo ndiyo niligundua jinsi ISIS alivyokuwa mungu wa muhimu sana katika misri ya kale akihusishwa na uzazi, maisha, umama, magic (uchawi?) na hata ufufuo. Mahekalu yake yalienea si Misri tu bali hata huko Athens; na baadhi ya taswira zake na visa asili inasemekana vimevilia na kuingia hata katika baadhi ya vitabu vitakatifu vya dini zetu kuu za kisasa. Bado anaabudiwa hata sasa huko Misri na sehemu mbalimbali duniani.Ahsante sana SYB.
Umenifungua macho mkuu, sikuwahi kuisikia hii dini ndio maana nikatamani kujua zaidi.
CC: ISIS
Wah!Mabinti wa Kisukuma hufanya hivyo. Salamu zote hata kama ni nusu saa wao wako chini. Bakia hapo hapo usinyanyuke mpaka nije nikushike mkono nikunyanyue...
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Tena wanaweka dawa ya unga ambao hufyonza mnato wote ili konokono awe mkavu. Mashirika ya kupambana na UKIMWI yamekuwa yakihangaika sana kuishambulia desturi hii lakini kama inavyojua mila hizi huwa hazifi kizembe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee carba hahaAsante sana
Pia napenda kutoa pole kwa wote wanaokaa kwa mashemeji zao
ningendako[emoji124][emoji124]