Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446706844_95570.jpg
 
Halafu tutegemee hiyo ndoa idumu na mwali akawe na adabu kwenye ndoa yake[emoji23][emoji23][emoji23]
We kungwi anakufundisha ukibeba ndoo beba na vidumu viwili mkononi incase ndoo ikidondoka,mfyuuuu!!
Kikubwa wanachofaidia hao wafundwaji ni mauno tu basi hakuna kingine
 
Nzuri au mbaya?

Shikamoo [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Mbaya[emoji17][emoji17]

Shikamoo unataka kuninyima nini shemeji?
Au ndo unaanza kunipa uhenga??

Shikamoo shem[emoji120][emoji120](kumbuka tu bado nimepiga magoti tangu jana?
 
Mbaya[emoji17][emoji17]

Shikamoo unataka kuninyima nini shemeji?
Au ndo unaanza kunipa uhenga??

Shikamoo shem[emoji120][emoji120](kumbuka tu bado nimepiga magoti tangu jana?
Pole. Siku kama hizo huwa zipo. Tena nyingi tu...Jitahidi upumzike.

Uhenga utakuja tu usiwe na wasiwasi tena huja kama mwivi. Yu weiti endi sii...

Basi nanyuka uende ukatupikie liugali. Tena la ukweli kama hili [emoji116][emoji116][emoji116]
428925044_264522.jpg
 
Back
Top Bottom